MZOZO KANISANI KWA VARWA:

 

1990 - 1993

 

Mtengano ndani ya Dayosisi ya Kilutheri

ya Kaskazini mwa Tanzania

 

Na Dr. Catherine Baroin

 

Andiko hili katika lugha ya Kiswahili limetafsiriwa kutoka andiko la awali katika lugha ya Kiingereza lililochapwa na Dr. Catherine Baroin mwaka 1996 kwa kichwa: “Religious Conflict in 1990-1993 Among the Rwa: Secession in a Lutheran Diocese in Northern Tanzania,” na kutolewa katika gazeti la African Affairs: The Journal of the Royal African Society, vol. 95, no. 381, eds Peter Woodward & David Killingray. 529-554. Oxford: Oxford University College for The Royal African Society.

 

MZOZO KANISANI.pdf
Document Adobe Acrobat 378.9 KB